Soko la Bei Nafuu & Zabuni Tanzania

Omba Nukuu ya Bei ya Bidhaa Yoyote

Weka maelezo ya bidhaa unazohitaji na picha (kama unayo). Wauzaji walioidhinishwa watashindana kukupa bei ya chini kabisa!

Gharama ya Kutuma Ombi TZS 2,000
1
Chagua Kategoria ya Bidhaa
Chagua sekta husika ili wauzaji sahihi wapokee ombi lako
2
Taarifa za Mawasiliano
Namba ya simu itakayopokea ujumbe mfupi (SMS) na viungo vya bei kutoka kwa wauzaji
Ujumbe wa uthibitisho na bei zote utatumwa kwenye namba hii (Nambari pekee).
Herufi pekee bila nambari.
3
Orodha ya Bidhaa & Picha (Hiari)
Unaweza kupakia picha ya sampuli ya bidhaa ili muuzaji aelewe vizuri
Bidhaa #1
Preview
Pakia picha ya bidhaa/sampuli (JPG, PNG au WEBP, max 5MB).
4
Muda wa Mwisho wa Kupokea Bei & Mahali
Muda ambao wauzaji watatakiwa kuwa wameweka nukuu zao za bei
Wauzaji hawataweza kutuma bei baada ya muda huu kupita.
5
Chagua Kasi ya Utumaji wa Ombi
Chagua aina ya huduma kulingana na uharaka wa mahitaji yako
Muhtasari wa Malipo (Kawaida)
Wauzaji wataarifiwa kuweka bei zao za chini kabisa.
Jumla ya Gharama:
TZS 2,000